Thursday, May 12, 2016

PICHA 7:Kilivyohappen kwenye birthday party ya meneja wa Diamond Platnumz…mafikizolo wahudhuria


May 11, 2016 meneja wa mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz, Sallam alisherehekea siku yake ya kuzaliwaDar es salaam na wadau mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva huku ikiwa imehudhuriwa na  wasanii kutoka Afrika Kusini Mafikizolo.></
div>


PICHA 7:Kilivyohappen kwenye birthday party ya meneja wa Diamond Platnumz…mafikizolo wahudhuria
Tiffa's Dady akifanya yake pembeni ni msanii wake Raymond

Diamond Platnumz akidance kwa mbwembwe

WCB WASAFI NA RAISI WAO

Meneja Babu tale na Theo wa Mafikizolo

Baba Qaylah akitumbuiza kwa fans

Meneja Sallam akizungumza machache
DJ TASS akifanya yake

0 comments:

Post a Comment